GET /api/v0.1/hansard/entries/1019187/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1019187,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019187/?format=api",
"text_counter": 257,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Jana wewe uliona Seneti ilikaa mbele ya Rais na kukupatia pesa ambazo hata hujui zimetoka wapi, wakati wewe mwenyewe unatangaza vita kwa Seneti. Wewe ndio unasafiri na ndege kubwa kubwa kuenda kwako huko, wakati Senators wanakupigania na wanakupatia pesa. Kwa hivyo, mtu ambaye akili yake ni timamu hawezi sema ugatuzi uvunjwe, ambapo wewe mwenyewe unafaidika na ugatuzi huo. Kwa hivyo, mimi ninasimama kideti hapa kuunga mkono Arifa ya rafiki yangu Sen. Moses Wetangula. Asante kwa kunipatia nafasi."
}