GET /api/v0.1/hansard/entries/1019209/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1019209,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019209/?format=api",
"text_counter": 279,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omogeni",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13219,
"legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
"slug": "erick-okongo-mogeni"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Ninaunga Sen. Wetangula kwamba Mkuu wa Sheria ana jukumu la kueleza Rais kwamba Kipengele 131 cha Katiba ya Kenya kinasema kwamba Rais sharti aheshimu na aitetee Katiba ya Kenya. Huwezi kupitisha nakala ambayo inaenda kinyume na sheria iliyopitishwa na Bunge. Kipengele cha Pili cha Katiba kinasema kwamba Katiba ya Kenya na sheria ambazo zimepitishwa na Bunge ndizo zinatoa mwongozo na mwelekeo wa kiongozi wetu taifa kuliongoza taifa hili."
}