GET /api/v0.1/hansard/entries/1019210/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1019210,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019210/?format=api",
    "text_counter": 280,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omogeni",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13219,
        "legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
        "slug": "erick-okongo-mogeni"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, imefika wakati ambapo tunahitaji kumuita Mkuu wa Sheria aje hapa Bungeni atueleze kama ameshindwa kutekeleza jukumu amepewa na Katiba ya taifa letu. Hii ni kwa sababu hatutaki Mkuu wa Sheria ambaye anataka kumuaibisha kiongozi wa taifa ambaye anataka kuwaunganisha Wakenya na kuonyesha kwamba Kenya ni nchi ambayo inaheshimu mwongozo wa kikatiba na sheria ambayo zimewekwa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}