GET /api/v0.1/hansard/entries/1019211/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1019211,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019211/?format=api",
"text_counter": 281,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omogeni",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13219,
"legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
"slug": "erick-okongo-mogeni"
},
"content": "Ninamshukuru Sen. Faki kwa kuleta jambo hili katika Bunge la Seneti. Ninaomba kuwa wale ambao watashughulikia jambo hili wahakikishe kwamba kama ni Mkuu wa Sheria ndiye anampotosha Rais wa taifa ni sharti sisi kama wanasheria tuelezwe kinagaubaga kwamba makosa yanatoka katika ofisi ya Mkuu wa Sheria."
}