GET /api/v0.1/hansard/entries/1019218/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1019218,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019218/?format=api",
"text_counter": 288,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "la Bandari linachukuliwa na kuchanganywa na shiriki ambalo lina na madeni ambayo haliwezi kulipa hadi sasa hiv linazama. Je, tutafufua shirika la reli ikiwa tuliunganisha na shughuli za Bandari? Hivi sasa Standard Gauge Railway (SGR) imeleta umasikini ndai ya Pwani. Imefilisisha barabara yote kutoka Mombasa hadi Nairobi. Hakuna biashara inayoendelea kutoka Mombasa hadi Nairobi. Nikimalizia kabisa----"
}