GET /api/v0.1/hansard/entries/1019247/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1019247,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019247/?format=api",
    "text_counter": 317,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana, Sen. Halake kwa mchango wako mzuri. Ningependa sasa kuwapa Maseneta wakati wa kuzungumzia taarifa hii nikianza na Sen. Were. Ingekuwa bora kama Maseneta wangeweza kutoa mchango wao kwa lugha ya Kiswahili lakini si lazima."
}