GET /api/v0.1/hansard/entries/1019261/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1019261,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019261/?format=api",
    "text_counter": 331,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana, Sen. Malalah. Lakini umepitwa na wakati. Nafikiri hiyo Hoja iliweza kuchangiwa kinagaubaga. Nafikiri kwa sababu wewe ni Seneta wa Kaunti ya Kakamega ungekohoa kidogo watu wakusikie. Sasa hivi ninamkaribisha Seneta wa Kaunti ya Bungoma, Sen. Wetangula."
}