GET /api/v0.1/hansard/entries/1019284/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1019284,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019284/?format=api",
    "text_counter": 354,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Waheshimiwa Maseneta, hivi sasa ni saa kumi na mbili na nusu za jioni, wakati wa kuhairisha shughuli za Bunge la Seneti. Kwa hivyo, sasa Kikao hiki kimehairishwa mpaka kesho siku ya Alhamisi tarehere 17 Septemba, 2020 saa nane na nusu, mchana."
}