GET /api/v0.1/hansard/entries/1019827/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1019827,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019827/?format=api",
"text_counter": 140,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika siku ambayo Sen. Malalah alishikwa na kutiwa ndani ya gari aina ya Subaru ya rangi ya kijani, nilikua kwa nyumba yake. Nilikua hapa jana katika hili Bunge la Seneti, nikamuona Sen. Malalah akilia hapa mbele ya Maseneta wenzangu. Leo hii tukiambiwa kwamba Sen. Malalah alikua analia machozi ya mamba, ilhali aliweza kueleza kinaga ubaga sababu ya yeye kulia na kwa sababu gani anataka kuliwa na mamba--- Kwa hivyo, ikiwa tutachukua swala la kwamba alijitia ndani ya Subaru mimi sikujua kuwa Sen. Malalah alikua anafanya mzaha. Je, ni sawa kwa Sen. M. Kajwang’ kusema kwamba Sen. Malalah anapenda kukaa katika buti ya Subaru?"
}