GET /api/v0.1/hansard/entries/101999/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 101999,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/101999/?format=api",
"text_counter": 136,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Shaban",
"speaker_title": "The Minister of State for Special Programmes",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Naibu Spika wa Muda, nilikuwa nikitaka kuwaeleza kwamba Naibu wa Waziri hakuwa na jibu. Ametoka nje kupiga simu kuuliza kama kuna jibu ambalo limeletwa upande huu. Kwa hivyo, naomba tu umpatie muda kidogo."
}