GET /api/v0.1/hansard/entries/1020199/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1020199,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1020199/?format=api",
"text_counter": 271,
"type": "speech",
"speaker_name": "Igembe South, Independent",
"speaker_title": "Hon. John Paul Mwirigi",
"speaker": {
"id": 1574,
"legal_name": "Cyprian Kubai Iringo",
"slug": "cyprian-kubai-iringo"
},
"content": " Bi. Spika wa Muda, Serikali ya siku ilikuwa imepanga kufanya kazi kidijitali. Vile vile, Mswada huu unaangazia jinsi ambavyo vile wahudumu wa afya wanaweza kupata mafunzo ama matibabu kutoka hospitali zingine, ama kutoka kwa watafiti wengine walio na ujuzi zaidi. Wakati ambapo vipimo vilivyochukulia kutoka hospitali moja vimetumwa kule, hakutakuwa na haja ya mtu kutembea kuenda hospitali nyingine iliyo mbali ilhali anaeza kupokea matibabu mahali alipo. Katika nchi yetu, watu wengi wanaugua Saratani na ikiwa Serikali itasisitiza jambo hili liweze kufanyika, watu hawa wataweza kupata matibabu. Naomba…"
}