GET /api/v0.1/hansard/entries/1022059/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1022059,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1022059/?format=api",
"text_counter": 332,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Asante sana, Bi Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii. Kwanza, namshukuru sana Seneta Ali kwa kuleta hii Statement yake wakati huu ambapo kuna matatizo mengi sana ya ufisadi katika nchi yetu. Kusema kweli, ni jambo la kusikitisha kuona kwamba wafanyikazi wa Wajir hawapati haki yao na pia waki recover zile allowances zao, pia kulipwa ni shida. Saa hii tumefika wakati kwamba ufisadi lazima ukomeshwe katika nchi yetu hasa huko sehemu za Wajir. Hili ni jambo la kusikitisha sana. Kulipiwa mfanyikazi hata pesa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}