GET /api/v0.1/hansard/entries/1022060/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1022060,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1022060/?format=api",
    "text_counter": 333,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "ya NSSF, kama alivyosema Sen. (Dr.) Ali, pia hazilipiwi. Mfanyikazi ambaye pia anatoka jasho, anaenda katika nyanja za chini kwa wale ambao kuna joto na jua pia hawapati haki yao. Naunga mkono taarifa hii na sheria ichukuliwe dhidi ya wale ambao wanahusika. Hatua kali inafaa kuchukuliwa katika Wajir County Government . Wale wanaoendeleza ufisadi wasibakishwe kwa sababu ni watu wabaya sana."
}