GET /api/v0.1/hansard/entries/1022074/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1022074,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1022074/?format=api",
    "text_counter": 347,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Naunga mkono Sen. Faki kwa yale aliyosema kwa sababu ni kweli kabisa. Nina ndugu mdogo wangu mara tatu ambaye anafanya kazi katika Shirika la Posta. Kila nikienda nyumbani ninamsaidia. Sasa huu ni mwezi wa pili. Ilibidi nimuulize shida yake. Aliniambia kuwa hajapata pesa hadi leo. Kwa hivyo, haya maneno ni ya ukweli. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}