GET /api/v0.1/hansard/entries/1022076/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1022076,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1022076/?format=api",
    "text_counter": 349,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, Shirika la Posta lina matatizo makubwa. Jengo ambapo ofisi kuu ya posta iko kule Lunga Lunga karibu linaanguka. Nimepiga kelele karibu mara tatu ili jingo hilo lirekebishwe au sivyo lifungwe. Watu wanaokaa mle ndani wananyeshewa na mvua. Hiyo ni aibu kubwa sana kwa Wakenya."
}