GET /api/v0.1/hansard/entries/1022077/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1022077,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1022077/?format=api",
    "text_counter": 350,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Shirika la Posta linapata pesa. Ikiwa mkataba wa Mkurugenzi Mkuu umefanywa upya, kwa nini wasilipe wafanyakazi wake? Muungano wa Wafanyakazi umewakodolea macho tu. Wakuu wa Muungano wa Wafanyakazi wanafaa kupiga kelele ili kuhakikisha kwamba wafanyakazi wa Shirika la Posta wanapata pesa zao. Wafanyakazi hao wanafaa kulipwa kwa haraka."
}