GET /api/v0.1/hansard/entries/1022078/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1022078,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1022078/?format=api",
"text_counter": 351,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Kaka mdogo wangu amekuwa akifanya kazi na Shirika la Posta karibu miaka 10. Nikifika Kwale, yeye huniangalia sana. Sina hata raha. Mara ananiambia hana petroli ilhali anafanya kazi katika posta. Kazi hiyo inafaa kumsaidia. Kamati itakayoshughulikia jambo hili ifanye kwa haraka. Wanabodi wa Shirika la Posta hawafai kupewa marupurupu mengi ya kuzunguka kwenda Nairobi, Takaungu na kwingineko. Wahakikishe kwamba wafanyakazi wao wanapata pesa."
}