GET /api/v0.1/hansard/entries/1022683/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1022683,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1022683/?format=api",
"text_counter": 308,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mwatate, ODM",
"speaker_title": "Hon. Andrew Mwadime",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Kwa ukweli, huu ni mfano mmoja tu. Mambo haya yamefanyika mahali kwingi Kenya. Hivi sasa, kule kwetu Taita Taveta Kaunti, tuna mashamba mazuri ambayo watu wanayakondolea macho na wengine wanayamezea mate. Sasa hivi, kuna simba mla nyama kwa jina la KDF. Wanazunguka huko wakitaka wapatiwe mahali pa kufanyia mazoezi lakini hao ni watu binafsi. Tunafaa tukemee masuala kama haya na tuyaongee waziwazi ili tusaidie wananchi ndio wale simba wala nyama ambao wanajificha kwa KDF wapate aibu ya kufanya jambo kama hili."
}