GET /api/v0.1/hansard/entries/1024384/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1024384,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1024384/?format=api",
    "text_counter": 42,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Vipopolipo. Bw. Spika, leo katika Bunge la Seneti mitambo yetu haifanyi kazi vilivyo. Ingekuwa heri kwetu ikiwa unaweza kutoa uamuzi ya kwamba hivi vilolopipo au vipopolipo pamoja na mitandao hii virekebishwe vifanye kazi mara moja. Waambie warekebishe mtambo huu."
}