GET /api/v0.1/hansard/entries/1024466/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1024466,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1024466/?format=api",
"text_counter": 124,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omanga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13175,
"legal_name": "Millicent Omanga",
"slug": "millicent-omanga"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Naunga mkono Hoja ya kuiongezea kamati maalum ya MES muda wa kukamilisha uchunguzi wao. Kamati hiyo maalum imefanya kazi nzuri na tungepata siku mbili au tatu zaidi, tungekamilisha ripoti hiyo na kuileta katika Floor ya Seneti."
}