GET /api/v0.1/hansard/entries/1024474/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1024474,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1024474/?format=api",
    "text_counter": 132,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Bw. Spika, naunga mkono Hoja hii ya kuiongeza kamati maalum inayochunguza MES muda wa kukamilisha uchunguzi wao. Kamati hiyo imechukua muda zaidi tayari. Kamati hiyo maalum ilienda mahali pa faragha wiki iliyopita ili kutatua maswala ibuka ambayo yanahusu ripoti yao maalum. Swala la MES ni jambo sugu ambalo Wakenya wengi wanadadisi kwamba itaonyesha ubabe wa Bunge la Seneti. Naisihi kamati hiyo maalum kuingazia kwa kina na maana zaidi ili tuweze kutatua ubadhilifu huu wa rasilimali za nchi yetu na ili tuweze kuwa na afueni katika sekta ya afya."
}