GET /api/v0.1/hansard/entries/1024704/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1024704,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1024704/?format=api",
"text_counter": 362,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bi. Naibu Spika. Uzuri wetu ni kuwa maisha ya mmoja wetu yakiwa hatarini au ikiwa Seneta anaweza kupoteza maisha yake kwa sababu ya vile anavyofanya kazi hapa, Bunge la Seneti linatupa haki ya kujadiliana na kuhakikisha kwamba Seneta huyu anafanya kazi yake bila matisho kama hayo."
}