GET /api/v0.1/hansard/entries/1024834/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1024834,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1024834/?format=api",
    "text_counter": 492,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Walipewa sehemu ndogo ya kujenga kanisa. Jambo la kusikitisha ni kwamba 1901 wakati ardhi ilipoanza kutolewa, kanisa ilipewa ardhi kiasi cha ekari 150. Ekari zile ndizo mashamba ambayo wenyeji walikuwa wakitumia kulima na sehemu walikuwa wanatumia kuenda kufanya uvuvi. Sehemu zingine ni makavazi ya kale ambayo wanatumia wengine kufanya ibada ama wana mizimu yao ambayo wanakwenda kuitakaradhi wakati wanataka kufanya mambo makubwa katika eneo lile. Bi. Naibu Spika, kwa hivyo, tumeona kwamba hii ni dhulma ya kihistoria kwa sababu ardhi ilipewa kanisa ambayo ilikuja na kupewa kijisehemu kidogo wakati ule. Wakati ule ilikuweko wengi waliokuwa pale walikuwa ni waislamu ambao hawakukubali kwanza kuwe na kanisa lakini baadaye wakakubali kuwe na kanisa. Ni vipi kanisa liweze kuja kupewa eraki 150 wakati wakaazi hawajapewa hata ardhi kidogo? Jambo la pili ni kwamba mishonari Kraph alipokuja, alikuwa na kanisa yake ya"
}