GET /api/v0.1/hansard/entries/1024836/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1024836,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1024836/?format=api",
    "text_counter": 494,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "(ACK). Hata ukienda Rabai, utapata ya kwamba kanisa ya mmishonari Kraph ilikuwa ni ya ACK. Jambo la ajabu ni kuwa ardhi hii imebadilika kutoka kwa Jomvu Mission na kuja kuwa ni ya Methodist Church ambao wameamua kuigawanya ardhi ile na kuanza kuuza bila ya kuwahusisha wenyeji. Bi Naibu Spika hii ni dhulma ya kihistoria kwa sababu hata National Land"
}