GET /api/v0.1/hansard/entries/1024848/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1024848,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1024848/?format=api",
    "text_counter": 506,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Zani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13119,
        "legal_name": "Agnes Zani",
        "slug": "agnes-zani"
    },
    "content": "Kwa hivyo, Ombi hili ni muhimu. Namshukuru Sen. Faki ambaye ameleta Ombi hili kwa niaba ya watu ambao wanaishi Jomvu ambao wamepatikana na janga hili. Nafikiria katika Seneti, tutaweza kuliangali na kulikamilisha vilivyo na kuhakikisha kwamba wamepata haki yao."
}