GET /api/v0.1/hansard/entries/1025284/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1025284,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1025284/?format=api",
    "text_counter": 331,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Trans Nzoia, CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "Hatuwezi kusema kwamba wananchi hawajajitokeza. Wananchi wako tayari katika sehemu zao. Wabunge kama waakilishi wao wakiona bwawa litajengwa katika sehemu yao wana nafasi ya kuongea na wananchi na kuhakikisha kwamba bwawa nzuri limejengwa. Hatuwezi kuwa tunasema waziri fulani ama kandarasi inatolewe na mtu fulani. Hii ni kwa sababu hawa ni wale watu tu wanaotafuta kazi za maji na wakitoka hapo wanaenda hospitalini ilikujinufaisha wao binafsi. Sio kwamba wanawanufaisha wananchi ambao wanangojea huduma zao kama Wabunge."
}