GET /api/v0.1/hansard/entries/1025285/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1025285,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1025285/?format=api",
"text_counter": 332,
"type": "speech",
"speaker_name": "Trans Nzoia, CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Kulingana na kazi ya Kamati ni vizuri tuwe na mipangilio ya kuhakikisha kwamba serikali za kaunti kwa sababu ndio zinasimamia mambo ya maji ziko na mipangilio mizuri na kwamba wananchi wanapata haki zao. Wajengewe mabwawa ya kuwasaidia kwa ajili ya kilimo na manufaa yao."
}