GET /api/v0.1/hansard/entries/1025434/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1025434,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1025434/?format=api",
    "text_counter": 130,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kwale CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Zuleikha Hassan",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": " Asante sana Bwana Spika kwa nafasi hii. Nataka kuuliza ni wapi Ripoti ya malalamishi ya wafanyikazi wa kampuni ya Kwale International Sugar Company imefikia. Tarehe 27, mwezi wa nane, mwaka wa 2015 katika Bunge iliyopita nilipokuwa Mbunge Maalum, nilileta malalamishi haya ama Petition na ukaambia Kamati ya Leba ishughulike na hiyo"
}