GET /api/v0.1/hansard/entries/1026712/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1026712,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1026712/?format=api",
"text_counter": 428,
"type": "speech",
"speaker_name": "Laikipia CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Catherine Waruguru",
"speaker": {
"id": 13253,
"legal_name": "Catherine Wanjiku Waruguru",
"slug": "catherine-wanjiku-waruguru"
},
"content": "ya mtaa. Wengi ambao wanaolipa ushuru kwa Serikali wako kule vijijini na hawapati. Hatutaki kuona ubaguzi mamboleo ya kwamba wale watu ambao wako kule mashinani hawapati. Nitazidi kusema kuwa Serikali haiwezi kupatiana kwa mkono mmoja kisha ikaitisha kwa mkono ule mwingine. Tunazidi kuelezea Serikali kuwa kama kabisa tutapigana na ugonjwa wa Covid-19, wacha Kenya Power waache kukatia watu stima ovyo ovyo katika Taifa la Kenya kwa sababu Serikali ndio mdhamini mkubwa na si wa pesa shilingi laki mbili ila ni mdhamini mkubwa wa umeme. Hatutaki kuona magavana wakikata…"
}