GET /api/v0.1/hansard/entries/1026845/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1026845,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1026845/?format=api",
    "text_counter": 34,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Ninakushukuru kwa kunipa nafasi hii. Jambo la kwanza ningependa kutamka ni kwamba leo kila Seneta aliye hapa apewe nafasi ya kuongea juu ya Hoja iliyo katika Bunge hili. Tunazingatia zaidi kwamba Hoja hii ni ya kitaifa. Kwa hivyo, ni muhimu kila Seneta aliye hapa apewe nafasi hiyo. La pili ni kwamba, kuna nia kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Bajeti atakapomaliza kusoma Hoja, baadaye awe seconded. Utapata ya kwamba kuna watu watataka kufanya mageuzi kidogo kwenye hiyo Hoja, pengine mimi nikiwa mmoja wao. Ikiwa nafasi itapatikana, ningependa nafasi hiyo ipeanwe ili Seneta mwengine pia apate nafasi ya kufanyia Hoja hii mageuzi, alafu tuendelee kujadiliana juu ya Hoja hii ya pesa."
}