GET /api/v0.1/hansard/entries/1027145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1027145,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1027145/?format=api",
    "text_counter": 334,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, naipinga Hoja iliyoletwa na ndugu yangu, kiranja wa wengi katika Seneti, ya kuleta mabadilisho katika Hoja ya ugavi wa pesa. Sababu za kuipinga Hoja hii ni kwamba italeta mtafaruku mkubwa kama tuilionao leo miaka miwili baadaye. Hoja hii italeta aibu kubwa katika Seneti. Ugavi wa pesa ni jukumu la Seneti lakini tumeshindwa kulitekeleza. Nasema hivyo kwa sababu ikiwa tutahairisha kutengeneza mipango ya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}