GET /api/v0.1/hansard/entries/1027146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1027146,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1027146/?format=api",
"text_counter": 335,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "ugavi wa pesa, kikamilifu na kwamba baada ya miaka miwili, tutarudi katika ugavi wa hesabu uliokuwepo awali, tutagandamiza kaunti zingine na zingine zitafaidika. Hii inabainisha ya kwamba ukisema utaniua leo, basi afadhali uniue sasa hivi kuliko kuniambia utaniacha leo lakini utaniua baada ya miaka miwili."
}