GET /api/v0.1/hansard/entries/1027147/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1027147,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1027147/?format=api",
    "text_counter": 336,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Uhairishaji wa Hoja hii ya ugavi wa pesa inamaanisha kwamba tutakuwa sawa sasa hivi na mwaka ujao lakini baada ya miaka miwili, tutarudi pale. Bunge hili la Seneti lina jukumu la kurekebisha hali ilivyo. Nilitembea katika Kaunti ya Nandi na nilifurahi na Wanandi. Nataka uhakikisho kwamba baada ya miaka miwili, kaunti zote 47 zinapata mgao wao kisawasawa. Hakupaswi kuwa na mtafaruku kama tulionao sasa hivi. Ijapokuwa Kiranja wa waliowengi katika Seneti amesema kwamba hakuna kaunti itakayo poteza pesa kwa miaka miwili, athari iliyoko ni kwamba Hoja hii itakuja tena katika Seneti baada ya miaka miwili na utaturegesha pale."
}