GET /api/v0.1/hansard/entries/1028167/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1028167,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1028167/?format=api",
    "text_counter": 203,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia taarifa iliyoletwa Bungeni na Sen. Khaniri. Ni kweli kwamba maradhi ya COVID-19 yameingia nchi yetu na sasa visa vingi vinaripotiwa kuhusu maradhi hayo. Leo asubuhi nilizuru Hospitali ya Aga Khan. Ripoti niliyopewa pale ni kwamba vyumba vyao vya Intensive Care Unit (ICU) vimejaa wagonjwa. Wale ambao hawakuweza kupata nafasi kule waliweka katika HighDependency Unit (HDU) ambayo wanahitaji vifaa vya kupumua na vinginevyo. Jambo la kusikitisha ni kwamba kaunti zetu nyingi hazina uwezo wa kuwa na vitanda vya ICU. Zilizoweza kupata ni kama kaunti saba ama nane. Hatari iliyoko ni The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}