GET /api/v0.1/hansard/entries/1028832/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1028832,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1028832/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Majuzi tu mmoja wa Majaji ambao walikuwa wamependekezwa alifariki dunia, na hivyo ndivyo ndoto yake ya kuwa Jaji katika Mahakama Kuu ya Kenya ilididimia. Tunapozungumzia taasisi za kikatiba ni lazima tuhakiskishe kwamba taasisi hizo zinafanya kazi kulingana na sheria. Hatuwezi kuwa na taasisi ambazo hazina mamlaka kikatiba na vilevile tunategemea kwamba zinaweza kufanya kazi vile wananchi wanavyotaka."
}