GET /api/v0.1/hansard/entries/1028835/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1028835,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1028835/?format=api",
"text_counter": 115,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Mwisho, sisi kama Seneti lazima tuwe macho wakati huu wa BBI ili kuhakikisha yote ambayo tumeweza kuyapata yanaendelea kuimarika na kuimarisha Seneti kwa maana ni taasisi pekee ambayo inaweza kulinda ugatuzi katika nchi yetu. Asante."
}