GET /api/v0.1/hansard/entries/1028881/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1028881,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1028881/?format=api",
    "text_counter": 161,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana Kiranja wa Walio Wengi. Umezungumza vizuri sana na kwa ufasaha kama mhadhiri wa Chuo Kikuu. Maswala ya sheria na serikali ni jambo nzuri zaidi. Fursa hii nampa Sen. (Dr.) Musuruve ambaye tumeshirikiana sana kuhakikisha kwamba haki za watu wenye ulemavu zimeweza kurudishwa katika ripoti ya BBI."
}