GET /api/v0.1/hansard/entries/1028894/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1028894,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1028894/?format=api",
"text_counter": 174,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana, Sen. Chebeni, mwakilishi wa vijana. Umetupatia wazo zuri sana, kuwa lazima kuwe na cheti cha kuhakikisha Miswada yote imepitishwa katika Mabunge yote mawili. Saa hizi nitampa nafasi Sen. M. Kajwang’. Simuoni. Je, yupo?"
}