GET /api/v0.1/hansard/entries/1028942/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1028942,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1028942/?format=api",
"text_counter": 222,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana, Sen. (Dr.) Milgo kwa kutupatia ratiba ya Kamati husika ambayo umekuwa Naibu Mwenyekiti. Naambiwa kuwa mara nyingi wewe huwa kama Mwenyekiti. Hujawasilisha hiyo Taarifa rasmi kwenye meza. Njoo utaelekezwa hapa."
}