GET /api/v0.1/hansard/entries/1028985/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1028985,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1028985/?format=api",
    "text_counter": 265,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaura",
    "speaker_title": "ADJOURNMENT The Temporary Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": " Waheshimiwa Masenata, sasa hivi in saa kumi na mbili unusu, wakati wa kusitisha shughuli za Bunge hili la Seneti. Kikao hiki sasa hivi kimeahiriswa mpaka kesho, Jumatano, tarehe nne Novemba, 2020, saa nane unusu."
}