GET /api/v0.1/hansard/entries/1029011/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1029011,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1029011/?format=api",
    "text_counter": 24,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia taarifa ambayo imeletwa na Seneta wa Lamu, Mhe. Anuar Loitiptip. Bw. Spika, juzi tulitamaushwa na ripoti zilizotoka kwenye vyombo vya habari ambazo zilikiwa zimezugumzwa na Katibu wa Kudumu katika Wizara ya Usafiri na Miundo Msingi, Bi. Nancy Karigithu"
}