GET /api/v0.1/hansard/entries/1029014/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1029014,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1029014/?format=api",
    "text_counter": 27,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Taarifa ya Seneta wa Lamu, Sen. Anuar, kuhusu uajiri wa kazi katika secta ya Maritime . Tumeona ya kwamba watu wanaotoka sehemu za Pwani wanatengwa wakati wa kuajiriwa kazi kama mabaharia. Ninaunga mkono Seneta wa Mombasa, Sen, Faki, kukashifu kwa kinywa kipana matamshi ya Katibu wa Kudumu kwa kusema kuwa wakaazi wa Pwani hawawezi"
}