GET /api/v0.1/hansard/entries/1029016/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1029016,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1029016/?format=api",
    "text_counter": 29,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "kuajiriwa kama mabaharia kwa sababu hawajui Kiingereza. Swali nililojiuliza nilipopata hiyo taarifa ni je, wanaoajiriwa baharini wanahitaji kizungu cha kufanya nini? Kwani wanaenda kuandika insha za kizungu au kufanya kazi za ualimu? Bw. Spika, nilipata fursa ya kwenda China. Siku moja nilipokuwa ninatafuta hoteli ya kulala, nilipatana na mwelekezi ambaye alikuwa anajua maneno mawili ya kizungu ambayo ni ― follow me ‖. Nilienda hadi kwa chumba changu na nikapata huduma vizuri. Kwa hivyo, ninashangaa kwamba ni lazima mtu ajue Kizungu ili aajiriwe kufanya kazi ya bahari. Hicho kizungu ni cha kufanya nini? Kazi ya ubaharia ni ile ya kufunga"
}