GET /api/v0.1/hansard/entries/1029018/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1029018,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1029018/?format=api",
    "text_counter": 31,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": ", kusafisha meli au kuelekeza mizigo itakavyoenda. Kwa hivyo, ninapinga kwa kinywa kipana kutenga watu wa Pwani wasipate kazi za baharia. Ingekuwa vizuri kama Kamati ya Uchukuzi, ambayo itapewa fursa ya kuangalia taarifa hii kwa kina iite Katibu wa Kudumu na Waziri pia waje waeleze Bunge la Seneti ni sababu gani zinafanya watenge watu wetu wasiajiriwe. Watu wa Pwani wasipoajiriwa, kutakuwa na umaskini Pwani."
}