GET /api/v0.1/hansard/entries/1029347/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1029347,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1029347/?format=api",
    "text_counter": 75,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante sana, Bi. Naibu Spika. Kwanza, ninamshukuru sana ndugu yangu Sen. Khaniri kwa Ombi hili la kuhusu tamaduni zetu. Waswahili husema mwacha mila ni mtumwa. Hii ni kwa sababu huwezi kuwacha mila na desituri zako na kuheshimu za watu wengine. Haifai kujipiga kifua ukidhani wewe una uhuru wa kufuata tamaduni za watu wengine ilhali imeasi asili zako. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}