GET /api/v0.1/hansard/entries/1029410/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1029410,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1029410/?format=api",
"text_counter": 138,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Naibu Spika, ningeongezea kwamba uteuzi huo umefanywa kinyume na sheria. Hii ni kwa sababu sheria inasema kwamba wa kwanza katika interview aweze kupewa wadhifa huo. Huyu mhusika alikuwa wa nne katika mahojiano ya kupewa wadhifa huo. Alikuwa hastahili kupewa wadhifa huo."
}