GET /api/v0.1/hansard/entries/1029415/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1029415,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1029415/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bi. Naibu Spika. Sijui ni kwa sababu gani ile mic yangu leo inaonekana haifanyi kazi. Utanisamehe kwa hayo. Bi. Naibu Spika, pia mimi ningependa niunge mkono yote aliyosema Seneta wa Mombasa kuhusu ile kazi ambayo ni ya Kenya Maritime Authority, kazi ambayo iko katika eneo ya Pwani. Ijapokuwa ni shirika la kitaifa, kazi iliyo katika eneo la Pwani ni muhimu kuzingatia kuona kwamba ikiwa kutakuwa na mtu wa Pwani ambaye amefaulu ama ana haja na hiyo kazi na anazo qualifications, basi apewe hiyo nafasi. Mimi ningependa kuunga mkono hayo. Vile vile ningependa kuongezea kwamba kuna nafasi zingine nne ambazo zilitokea katika maeneo ya Pwani. Moja wapo ni ile ya"
}