GET /api/v0.1/hansard/entries/1029502/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1029502,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1029502/?format=api",
"text_counter": 230,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "sababu waheshimiwa Wabunge wanaweza kufa. Kwa mfano, Sen. (Dr.) Milgo, Sen. Farhiya, dadangu, Sen. Halake na wengine wengi wanaweza kufa tukichukulia ugonjwa huu kwa mzaha. Sisi sote tunaweza kufa kiholela. Tumendanywa kutumia hizi za Bunge ambazo ni bandia. Tumenunua kutoka nje na tumetumia kwa siku mzima, tunataka tupumue hewa safi. Tunataka kugeuza. Sasa hatuwezi kugeuza kwa sababu hizi barakoa tulizo nazo afadhali hizi kuliko zile ambazo hata hazina maana yeyoye na zimenunuliwa na Bunge letu. Bwana Spika wa Muda, asante sana kwa kuniruhusu kuongea kupitia hoja ya nidhamu."
}