GET /api/v0.1/hansard/entries/1029864/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1029864,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1029864/?format=api",
"text_counter": 264,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Mhe. (Bi.) Mishi Mboko",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": " Asante sana. Nasema kwamba ni lazima wanafunzi wawe na stakabadhi hii ndio waweze kuendelea na mitihani yao katika zile shule zetu hapa nchini. Vilevile, wakati unataka stakabadhi ya kusafiri, ni lazima upate stakabadhi hii kwanza hata kabla hujapeana hiki kitambulisho ambacho pia ni stakabadhi muhimu katika Taifa letu la Kenya. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}