GET /api/v0.1/hansard/entries/1030108/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1030108,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1030108/?format=api",
"text_counter": 196,
"type": "speech",
"speaker_name": "Igembe South, Independent",
"speaker_title": "Hon. John Paul Mwirigi",
"speaker": {
"id": 1574,
"legal_name": "Cyprian Kubai Iringo",
"slug": "cyprian-kubai-iringo"
},
"content": " Asante sana Mhe. Spika. Hakuna mtu yeyote ambaye anadhalilisha mtu sababu ya umri. Lakini kama mtu amestaafu, ni vyema yule ambaye hajapata kazi apate nafasi hiyo ya kazi kwa sababu ni wengi ambao wanatafuta hii kazi na hawawezi kupata hiyo kazi. Sana sana, namba iliyo juu ni vijana wengi ambao hawana kazi kwa sasa. Kwa hayo machache, naomba kuunga. Asante."
}